• ENVIRONMENT
  • MAABARA YA CHUO
  • WANACHUO WAKIFANYA MTIHANI
  • WANACHUO WA LABORATORY ASSISTANT
  • CHUMBA CHA KOMPYUTA
  • project1
  • MADARASA
 


When you are at MUSOMA UTALII COLLEGE, Remember to Aim for success, not perfection. Never give up your right to be wrong, by doing so you will lose the ability to learn new things and move forward with your life. Try to recall that fear always lurks behind perfectionism.” Mr. SAMSON BWIRE (Teacher Sam)flash » TANGAZO TANGAZO TANGAZO!!!!!!!!!

TAREHE YA KUFUNGUA CHUO NI 05 JANUARY 2020. HIVYO WANACHUO WOTE MNATAKIWA KURIPOTI SIKU HIYO.
AIDHA, wanachuo ambao hawakufanya mtihani kwa sababu mbalimbali watatakiwa kufanya mitihani hiyo TAREHE 06 - 12 JANUARY 2020. Aidha wanachuo waliopata supplimentary katika matokeo yao watafanya mitihani yao ya marudio katika tarehe tajwa

Wanachuo wa grade A mnatakiwa kuja na vyeti vyenu vya kuhitimu kidato cha nne ili viwasilishwe BARAZA LA MITIHANI KWA AJILI YA USAJILI WA MTIHANI WA MEI 2020, TAFADHALI MFAHAMISHE ASIYE NA TAARIFA HII MUHIMU SANA
 
MR. BWIRE SAMSON

ACADEMIC OFFICER
MUSOMA UTALII SECONDARY SCHOOL
» MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA FORM FOUR 2018

» FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO

» RATIBA YA SHULE
» ZIARA ZA KITAALUMA
 
VISITORS COUNTER© 2017 MUSOMA UTALII TRAINING COLLEGE - MUSOMA, All rights are reserved   | | This website is designed by BWIRE SAMSON